RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Bandari ya Malindi Zanzibar, akiwa katika ziara yake 26-2-2024 katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Akif Ali Khamis na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa na (kulia kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Ndg.Akif Ali Khamis, wakati wa ziara yake kutembelea Bandari ya Malindi Jijini Zanzibar kujionea huduma zinazotolea kwa Wafanyabiashara wanaotumia Bandari ya Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa. (Picha na Ikulu)
WACHUKUZI wa Bandari ya Malindi Zanzibar na Wafanyakazi wa Majahazi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza wakati wa ziara yake kutembelea Bandari ya Malindi Zanzibar 26-2-2024, kujionea utendaji Kazi wa Bandari hiyo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Naibu Katibu wa Ushirika wa Wachukuzi Bandari ya Malindi Zanzibar Ndg.Yahya Andrea Pima, akizungumza na kutoa changamoto zao, wakati wa ziara yake kutembelea Bandari ya Malindi Zanzibar , na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wafanyabishara, Wafanyakazi wa Bandari na Wachukuzi wa mizigo, wakati wa ziara yake ya kutembelea Bandari hiyo iliyofanyika 26-2-2024.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment