ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 14, 2024

MAKAMU MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) ZANZIBAR MHE.HUSSEIN MWINYI AENDELEA NA ZIARA YAKE YA KICHAMA MKOA WA MAGHARIBI KICHAMA UNGUJA

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungwa Skafu na Vijana ya UVCCM, alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Mikutano viwanja vya Maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, akiendelea na ziara yake ya Kichama katika Mkoa wa Magharibi Kichama kuzungumza na Viongozi wa Kamati za Siasa wa ngazi mbalimbali katika Mkoa huo Kichama
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa mkutano viwanja vya maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja akiendelea na ziara yake katika Mkoa wa Magharibi Kichama, na kuzungumza na Viongozi wa Kamati za Siasa wa ngazi mbalimbali Kichama katika mkoa huo, na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Kichama Ndg. Mohammed Rajab Soud na Mjumbe wa HalmaSHAURI Kuu ya CCM Taifa Ndg. Leila Burhani Ngozi na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa
VIONGOZI mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika ukumbi wa mkutano viwanja vya maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B” Ungaja wakati Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati akiwasili katika ukumbi kwa ajili ya kuzungumza na Viongozi wa Kamati za Siasa ngazi mbalimbali wa Mkoa wa Magharibi Kichama akiendlea na ziara yake

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa akizungumza na kuonesha ukurasa wa Gazeti wakati wa ziara ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika ziara yake ya Kichama katika Mkoa wa Magharibi Kichama, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano viwanja vya Maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Kamati za Siasa wa ngazi mbalimbali katika Mkoa wa Magharibi Kichama wakati wa ziara yake ya Kichama katika Mkoa huo. Mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa viwanja vya maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja

VIONGOZI wa Kamati za Siasa katika Mkoa wa Magharibi Kichama ngazi mbalimbali wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Viongozi hao wakati wa ziara yake ya Kichama katika Mkoa huo, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano viwanja vya maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja

VIONGOZI wa Kamati za Siasa katika Mkoa wa Magharibi Kichama ngazi mbalimbali wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Viongozi hao wakati wa ziara yake ya Kichama katika Mkoa huo, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano viwanja vya maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.

No comments: