RAIS DKT. SAMIA AKIWASILI MJINI KIGALI RWANDA KUHUDHURIA SHEREHE ZA UAPISHO WA RAIS MTEULE MHE. PAUL KAGAME
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali tayari kwa kuhudhuria sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa Rwanda, Mhe. Paul Kagame, tarehe 11 Agosti, 2024.
No comments:
Post a Comment