Monday, August 26, 2024

RAIS SAMIA NA RAIS XI JINGPING WAPONGEZWA CHINA


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Idara ya Mambo ya Nje wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Ndugu Liu Jianchao, ambaye amesema kuwa CPC na Serikaliyake, wanatambua juhudi kubwa za kuleta maendeleo zinazofanywa na Mhe. Rais Dkt. SamiaSuluhu Hassan.

No comments: