Thursday, September 5, 2024

AFISA MTENDAJI MKUU DSE AJITAMBULISHA KWA WAZIRI WA FEDHA


Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kulia), akipeana mikono na Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Bw. Peter Nalitolela, aliyefika kujitambulisha, katika Ofisi ya Waziri wa Fedha, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kulia), akiagana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Bw. Peter Nalitolela, aliyefika kujitambulisha, katika Ofisi ya Waziri wa Fedha, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza kuhusu maendeleo ya Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), alipokutana na kufanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Bw. Peter Nalitolela, aliyefika kujitambulisha, katika Ofisi ya Waziri wa Fedha, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiongoza mkutano kati yake na Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Bw. Peter Nalitolela, aliyefika kujitambulisha, katika Ofisi ya Waziri wa Fedha, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (wa pili kulia) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Bw. Peter Nalitolela, (wa pili kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe kutoka DSE baada ya Afisa Mtendaji Mkuu wa DSE kujitambulisha kwa Waziri wa Fedha, jijini Dodoma. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha)

No comments: