Sunday, September 1, 2024

MWENYEKITI WA CCM RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU CCM


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya CCM, inayokutana jijini Dar Es Salaam, Jumapili Septemba 01, 2024.

No comments: