ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 28, 2024

RAIS DKT. SAMIA AFUNGA KIKAO MAALUM CHA BARAZA KUU LA JUMUIYA YA WANAWAKE WA TANZANIA (UWT) TAIFA





Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja Wajumbe wakati wa kufunga Kikao Maalum cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Taifa katika ukumbi wa Parokia ya Bombambili, Wilaya Songea Mkoani Ruvuma, leo tarehe 28 Septemba, 2024.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi pamoja Wajumbe kabla ya kufunga Kikao Maalum cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Taifa katika ukumbi wa Parokia ya Bombambili, Wilaya Songea Mkoani Ruvuma, leo tarehe 28 Septemba, 2024.




Wajumbe mbalimbali waliohudhuria Kikao Maalum cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Taifa ambacho Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alikuwa mgeni rasmi na kufunga Kikao cha Baraza hilo katika ukumbi wa Parokia ya Bombambili, Wilaya Songea Mkoani Ruvuma, leo tarehe 28 Septemba, 2024.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya picha kutoka kwa Mwenyekiti wa UWT Bi. Mary Chatanda kabla ya kufunga Kikao Maalum cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Taifa katika ukumbi wa Parokia ya Bombambili, Wilaya Songea Mkoani Ruvuma, leo tarehe 28 Septemba, 2024.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya picha kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa UWT Bi. Zainab Khamis Shomari kabla ya kufunga Kikao Maalum cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Taifa katika ukumbi wa Parokia ya Bombambili, Wilaya Songea Mkoani Ruvuma, leo tarehe 28 Septemba, 2024.






Picha mbalimbali za Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa kufunga Kikao Maalum cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Taifa katika ukumbi wa Parokia ya Bombambili, Wilaya Songea Mkoani Ruvuma, leo tarehe 28 Septemba, 2024.




No comments: