Thursday, September 5, 2024

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA KAMATI YA KITAIFA YA BARAZA LA MASHAURIANO YA KISIASA NCHINI CHINA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Watu wa China Mhe. Wang Huning, Beijing nchini China tarehe 04 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja kabla ya kuanza mazungumzo na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Watu wa China Mhe. Wang Huning, Beijing nchini China tarehe 04 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Watu wa China Mhe. Wang Huning, Beijing nchini China tarehe 04 Septemba, 2024.

No comments: