Wednesday, September 25, 2024

WAGENI WAANZA KUWASILI AUSTIN, TEXAS TAYARI KWA KONGAMANO KUBWA LA DIASPORA NCHINI MAREKANI

Hii ni Kalahari na hapa ndio patafanyika kongamano kubwa la Diaspora nchini Marekani
Baadhi ya wageni waliowasili kutoka Tanzania kuhudhuria kongamano hilo la siku 4 litakaloanza siku ya Alhamisi September 26 na kumalizika Jumapili September 29
Picha juu na chini ni wageni wengine kutokaa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja
Mazingira nje ya jengo la Kalahari Resort yakiwa yamepaambwa na sanamu za wanyama mbalimbali
Mazingira nje ya jengo la Kalahari Resort yakiwa yamepaambwa na sanamu za wanyama mbalimbali
Unakumbuka kichuguu
Picha juu na chini ni ndani ya jengo la Kalahari

No comments: