Tuesday, October 1, 2024

DIASPORA WA MAREKANI WAJITOKEZA KWA WINGI KUSHUGHULIKIA PASI ZA KUSAFIRIA NA VITAMBULISHO VYA NIDA

Afisa uhamiaji Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Bi Sophia Gunda akihakiki karatasi za mmoja ya wadau wa Diaspora aliyafika Austin, Texas kushughulikia swala la pasi ya kusafiria siku ya Jumamosi Septemba 28, 2024. Picha na Vijimambo Blog
Afisa uhamiaji Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Bi Sophia Gunda akihakiki karatasi za mmoja ya wadau wa Diaspora aliyafika Austin, Texas kushughulikia swala la pasi ya kusafiria siku ya Jumamosi Septemba 28, 2024.
Afisa usajili mwandamiz Issa Salumi akihakiki maelezo ya diaspora mTanzania nchini Marekani yanasomeka kama yalivyojazwa kwenye fomu za mwombaji wa kitambulisho cha NIDA.
Kushoto ni Theresia Matonya afisa uchambuzi mifumo ya kompyuta akihakiki fomu za mmoja ya waombaji wa kitambulisho cha Taifa (NIDA)
picha juu na chini ni Afisa uhamiaji Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Bi Sophia Gunda akihakiki karatasi za mmoja ya wadau wa Diaspora aliyafika Austin, Texas kushughulikia swala la pasi ya kusafiria siku ya Jumamosi Septemba 28, 2024.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Afisa uhamiaji Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Bi Sophia Gunda akihakiki karatasi za pasi za kusafiria za wadau wa diaspora waTanzania wanaoishi nchini Marekani
Kulia ni Afisa usajili mwandamiz Issa Salumi akihakiki maelezo ya diaspora mTanzania nchini Marekani yanasomeka kama yalivyojazwa kwenye fomu za mwombaji wa kitambulisho cha NIDA.
Afisa uchambuzi mifumo ya kompyuta Theresia Matonya akihakiki fomu za mmoja ya waombaji wa kitambulisho cha Taifa (NIDA)
Wadau wakisubili zamu yao ya kupata huduma vitambulisho vya NIDA
Wadau wakisubili zamu yao ya kupata huduma vitambulisho vya NIDA
Wadau wakisubili zamu yao ya kupata huduma vitambulisho vya NIDAWadau wakisubili zamu yao ya kupata huduma vitambulisho vya NIDA
Wadau wakisubili zamu yao ya kupata huduma vitambulisho vya NIDA

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake