ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 31, 2024

RAIS SAMIA AKUTANA NA MTENDAJI MKUU WA MILLENIUM CHALLENGE CORPORATION BI. ALICE ALBRIGHT MJINI IOWA, MAREKANI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Corporation Bi. Alice Albright kabla ya kuanza kwa mazungumzo yaliyolenga kukuza na kuimarisha mahusiano tarehe 30 Oktoba 2024, Des Moines, Iowa nchini Marekani.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Corporation Bi. Alice Albright ambapo mazungumzo hayo yalijikita katika kukuza na kuimarisha mahusiano baina ya pande mbili hizo, tarehe 30 Oktoba 2024, Des Moines, Iowa nchini Marekani.





No comments: