ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 29, 2024

RAIS WA ZANZIBAR DKT. HUSSEIN MWINYI AONGOZA HAFLA YA KUMPONGEZA ASKOFU WA JIMBO KATOLIKI ZANZIBAR



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akikabidhiwa zawadi maalumu ya picha ya kuchora na Mhashamu Askofu Mkuu Jimbo Katoliki la Zanzibar Askofu Agustino Shao, baada ya kumalizika kwa Ibada Maalumu ya kumpongeza iliyofanyika katika viwanja vya Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika viwanja vya Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja, kwa ajili ya kujumuika na Waumini wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar, katika Ibada ya kumpongeza Mhashamu Askofu Agustino Shao, iliyofanyika katika viwanja hivyo.
MHASHAMU Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Zanzibar Askofu Augustino Shao akiongoza Ibada maalumu ya kumpongeza kwa Unabii na Utumishi wake kuleta umoja na mshikamano katika Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar, iliyofanyika katika viwanja vya Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi,na Viongozi mbalimbali wa Serikali, wakijumuika na Waumini wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar, katika Ibada ya kumpongeza Mhashamu Askofu Agustino Shao, iliyofanyika katika viwanja vya Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika viwanja vya Mao Zedong Wilaya ya Mjini Jijini Zanzibar, baada ya kumalizika kwa Ibada maalumu ya kumpongeza Mhashamu Askofu Mkuu Jimbo Katoliki la Zanzibar Askofu Agustino Shao, iliyofanyika leo katika viwanja hivyo.






RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akikabidhiwa zawadi maalumu ya picha ya kuchora na Mhashamu Askofu Mkuu Jimbo Katoliki la Zanzibar Askofu Agustino Shao, baada ya kumalizika kwa Ibada Maalumu ya kumpongeza iliyofanyika katika viwanja vya Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja leo 27-10-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mhashamu Askofu Mkuu Jimbo Katoliki la Zanzibar Askofu Agustino Shao, baada ya kumalizika kwa Ibada Maalumu ya kumpongeza Askofu Agustino Shao, iliyofanyika leo 27-10-2024, katika viwanja vya Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.

No comments: