Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Riziki Pembe Juma akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi Ujenzi wa Nyumba za Wafanyakazi wa Hospitali ya Wilaya ya Kaskazini B Pangatupu Zanzibar.Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye Kauli Mbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi ,Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Riziki Pembe Juma akipatiwa maelezo na Mshauri Elekezi wa Mradi Dk,Moses Mkony kuhusiana na Ujezi katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Nyumba za Wafanyakazi wa Hospitali ya Wilaya ya Kaskazini B Pangatupu Zanzibar. Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye Kauli Mbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi ,Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Baadhi ya Wageni waalikwa waliohidhuria katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Nyumba za Wafanyakazi wa Hospitali ya Wilaya ya Kaskazini B Pangatupu Zanzibar.Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye Kauli Mbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi ,Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Riziki Pembe Juma akitoa hotuba katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Ujenzi wa Nyumba za Wafanyakazi wa Hospitali ya Wilaya ya Kaskazini B Pangatupu Zanzibar.Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye Kauli Mbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi ,Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Muonekano wa Jengo la Nyumba za Wafanyakazi wa Hospitali ya Wilaya ya Kaskazini B Pangatupu Lililoekewa Jiwe la Msingi na Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Zanzibar.Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye Kauli Mbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi ,Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZNAIZBAR,27/12/2024.
No comments:
Post a Comment