Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mmoja wa Wakuu wa Misheni za Uangalizi wa Chaguzi za SADC (SEOM) Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mohammed Chande Othman na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, katika Ikulu ndogo ya Tunguu ,Zanzibar tarehe 09 Januari 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mmoja wa Wakuu wa Misheni za Uangalizi wa Chaguzi za SADC (SEOM) Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda katika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 09 Januari 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mmoja wa Wakuu wa Misheni za Uangalizi wa Chaguzi za SADC (SEOM) Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anna Makinda na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 09 Januari 2025.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake