Saturday, January 11, 2025

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAPINDUZI


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, akiongoza kikao cha Baraza la Mapinduzi kilichofanyika , Pemba tarehe 11 Januari 2025. Kikao cha Baraza la Mapinduzi cha kwanza kwa mwaka huu wa 2025.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake