ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, February 4, 2025

WASIRA ATEMBELEA KABURI LA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS NYERERE BUTIAMA


MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wassira ametembelea kaburi la Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Butiama, leo Februari 3, 2025 akiwa ziarani mkoani Mara ambapo pia mezungumza na wazee wa Butiama.

No comments: