Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhi majiko ya gesi kwa wanawake wawakilishi kutoka Wilaya mbalimbali za Mkoa wa Kigoma ili kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa Kanda ya Magharibi ikiwa ni shamrashamra kuelekea Siku ya Wanawake Duniani linalofanyika katika Ukumbi wa NSSF mkoani Kigoma leo tarehe 03 Machi 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa Kanda ya Magharibi ikiwa ni shamrashamra kuelekea Siku ya Wanawake Duniani linalofanyika katika Ukumbi wa NSSF mkoani Kigoma leo tarehe 03 Machi 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwapungia mkono kuwaaga wanawake mbalimbali wanaoshiriki Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa Kanda ya Magharibi mara baada ya kufungua kongamano hilo linalofanyika katika Ukumbi wa NSSF mkoani Kigoma leo tarehe 03 Machi 2025.












No comments:
Post a Comment