ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 23, 2025

MAMIA WAMEJITOKEZA KATIKA MAZISHI YA MRATIBU WA MISS TANZANIA


Mamia wamejitokeza katika mazishi ya aliyekuwa Mratibu wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga ambayo yamefanyika leo Aprili 22, 2025 Kidatu mkoani Morogoro. Lundenga alifariki Aprili 19,2025 Jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu.

CHANZO: MICHUZI BLOG

No comments: