ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, May 18, 2025

HONGERA SANA NASRA CHUNDA KWA KUHITIMU MASOMO YAKO

Nasra Chunda, tunakupongeza kwa kufanikiwa kuhitimu masomo yako ya Shahada ya Uzamili katika Usimamizi wa Fedha (Master of Financial Management) kutoka Chuo Kikuu cha Boston! Hii ni hatua kubwa na ya kujivunia katika safari yako ya kielimu na kitaaluma.

Bidii yako, kujitolea, na uvumilivu wamezaa matunda, na tunao uhakika kwamba utatumia maarifa haya kuleta mabadiliko chanya katika jamii.

Kutoka timu yote ya Vijimambo Blog, tunakutakia kila la heri katika hatua zako za baadaye. Hongera sana, Nasra, kwa kufanikisha ndoto yako!

No comments: