ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 26, 2025

MWENYEKITI WA CCM TAIFA NA RAIS DKT.SAMIA SULUHU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU JIJINI DODOMA


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kilichofanyika Mkoani Dodoma tarehe 26 Mei, 2025.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa wa Chama hicho tarehe 26 Mei, 2025 Mkoani Dodoma kusimama kwa dakika moja kumuombea dua aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Cleopa David Msuya aliyefariki tarehe 7 Mei, 2025 na kuzikwa kijijini kwake Chomvu, Usangi, Wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.



No comments: