
Joseph Kapinga, afisa ubalozi utalii na siasa ubalozi wachezaji Tanzania nchini Marekani, Washington DC akikaribisha wageni mbalimbali waliojitokeza siku ya Jumamosi May 3, 2025 tamasha la Passport DC ambalo kila ubalozi ulifanya tamasha hilo la kila mwaka kutangaza utalii wa nchi zao.
No comments:
Post a Comment