ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 19, 2025

RAIS WA YANGA AKUTANA NA WANACHAMA NA MASHABIKI WA YANGA USA


Wana Yanga na mashabiki wa Wydad Casablanca wakiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Yanga Eng. Hersi Said ambae pia ni Mwenyekiti wa vilabu Afrika.

Wana Yanga waliosafiri kutoka New York, DC na mwenyeji wa Hadji walienda hotel aliyofikia Rais wa Yanga mji wa Philadelphia jimbo la Pennsylvania baada ya mechi ya Club World Cup kati ya Wydad na Manchester United na Wydad kupoteza mechi hiyo kwa goli 0-2.

Wana Yanga hao walifanya maongezi na Rais wao kuhusiana na msitakabali mzima wa maendeleo ya Club yao.







No comments: