Ndugu, jamaa na marafiki wakijumuika pamoja katika siku ya msiba wa mpendwa wetu Hassan Ng'anzo nyumbani kwa marehemu Sinza Mori mapema siku ya Ijumaa March 27, 2026 kabla ya kuelekea makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam yalikofanyika maziko yake. Marehemu alifariki siku ya Jumatau asubuhi katika ajali ya gari march 23, 2027 jijini Dodoma. Marehemu alikua na wenzake wawili katika ajali hiyo lakini ni yeye pake yake aliyafariki na wenzake kukimbizwa hospitali ya Dodoma kwa matibabu zaidi. Hassan Ng'anzo alikua mkaaz inchini Norway. Picha zote kwa hisani ya Mayor Mlima.
No comments:
Post a Comment