ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 28, 2010

Iraq kuwarejesha kazini wanajeshi 20,000 waliokua chini ya Saddam Hussein

An Iraqi soldier stands guard at a polling station in Basra ahead of the March 7 general elections.
Waziri mkuu wa Iraq Nuri al-Maliki,anafikiria kuwarejesha kazini wanajeshi takriban 20,000 waliokua chini ya utawala wa Saddam Hussein 

No comments: