ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, February 27, 2010

Ofisi ya ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kuhamia rasmi jengo jipya Jumatatu

mjengo mpya wa ofisi za ubalozi wa Tanzania Marekani zilizopo 1232 22 St,Nw,Washington,Dc ambao utaanza kutumiwa rasmi Jumatatu march 1,2010


mjengo wazamani wa ofisi ya ubalozi wa Tanzania uliokua R St,Nw,Dc  

1 comment:

Anonymous said...

$ 2000,000 za walala hoi umeme hatuna Tanzania jengo hili litatusaidia nini kwa maendeleo ya Tanzania?