ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 8, 2010


Marlaw,AY kugombea TUZO!
Msanii wa Muziki wa kizazi kipya nchini Ambwene Yesaya maarufu A.Y atakuwa ni miongoni mwa vichwa hatari toka bongo watakaowania tuzo ya mwanamuziki bora wa kiume Afrika Mashariki.




Tuzo hizo za 'Chaguo la Teneeze' zifanyikazo nchini Kenya hushirikisha wasanii kibao toka Afrika Mashariki,mbali na AY wengine waliopata bahati hiyo ni ni Malima Lawrence "Marlaw", Blue 3 wa Uganda na Weasel and Radio wa Kenya.

A.Y aliwahi kutangazwa tena kuwania Tuzo nchini Kenya mwaka jan
a

No comments: