ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, March 17, 2010


Image
Rais Jakaya Kikwete akitia saini Sheria ya Gharama za Uchaguzi ya Mwaka 2010, katika sherehe zilizofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam jana huku akishuhudiwa na viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa nchini, baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala pamoja na Waziri Mkuu Mizengo Pinda (wa nne kushoto). (Picha na Anna Itenda wa Maelezo).

No comments: