ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, March 18, 2010


Image
Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akielekezwa na mmoja wa wafanyakazi wa benki ya Mkombozi, Bernadetha Katandalila kujaza fomu ya kufungua akaunti mara baada ya kuizindua rasmi benki hiyo, Dar es Salaam jana. (Picha na Fadhili Akida).

No comments: