ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 3, 2010


Image
Afisa Maendeleo ya Jamii Mkoa wa Morogoro Tumaini Luapalila, wa kwanza kushoto, akitoa misaada ya Mchele, Mbuzi, pamoja na Mafuta kwa ajili ya siku kuu ya Pasaka kwa watoto yatima wanaolelewa na Kituo cha Masista cha Mgolole kilichopo Bigwa katika Manispaa ya Morogoro jana.Misaada hiyo yenye thamani ya sh. 517,000/=, imetolewa na Rais Jakaya Kikwete katika vituo vya watoto yatima vya Miayo, Ukwama pamoja na kituo hicho. (Picha na Eline Shaidi)

No comments: