ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 7, 2010


Image
Rais Jakaya Kikwete (wa nne kushoto) na Rais Amani Abeid Karume wakiwa katika ibada maalum ya kumkumbuka muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika katika ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar. Wengine katika picha kutoka kushoto ni Spika wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho, Naibu Waziri Kiongozi wa SMZ Ali Juma Shamhuna, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Salehe Ramadhani Feruzi, Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein (wa saba kushoto), Waziri Kiongozi wa SMZ , Shamsi Vuai Nahodha, Waziri Kiongozi mstaafu wa SMZ Mohamed Gharib Bilal na Katibu Mkuu wa CUF, Seif Shariff Hamad. (Picha Na Freddy Maro)

No comments: