ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 1, 2010

LOVELY GAMBLE YAZINDULIWA READING


Ile filamu ya Lovely Gamble iliyochezwa Uingereza na kuzinduliwa kwa mara kwanza bongo hivi karibuni, wikiendi iliyopita ilikuwa mjini Reading Uingereza ambako ilioneshwa katika onesho maalum la kuchangia Yatima. Picha hiyo Kanumba pia ameshiriki. Pichani kutoka kushoto ni BARAKA,DAISY, TIM, RENNY,na FRANK 
kutoka kushoto ni steling wa muvi hiyo MECKY akiwa na RAHMA 'Classic', TINA, BARAKA,HALIMA, FRANCIA na FRANK

Msanii ANN-LYNN, Afisa Balozi Msanjila na TV Presenter TINA nao walikuwep

No comments: