
Rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton moja ya mashabiki waliohudhulia mechi kati ya Ghana na USA

Rais wa CUF Issa Hayatou(shoto) na Rais wa FIFA Joseph Sepp Blatter ni miongoni ya watu walioshuhudia Ghana akimuondoa USA katika hatua ya timu 16

Kevin Prince Boeteng akikung'uta mashine ilioandika bao la kwanza la Ghana

Kevin Prince Boeteng akishangilia bao lake baada ya kuipatia Ghana bao la kwanza

Golikipa wa Marekani Tim Haward akishika kiuno kwa mshangao wa goli la kwanza la Ghana

Mchezaji wa USA Clint Dempsey akiangushwa kwenye eneo la penati na Jonathan Mensah wa Ghana

Landon Donovan akipiga penati iliyosawazisha bao kwa USA

Donovan akishangilia bao la kusawazisha kwa njia ya tuta

Asamoah Gyan akiachia mkwaju uliopatia Ghana bao la pili na la ushindi kwenye dakika za nyongeza

nifuraha iliyoje kwa Asamoah Gyan,Ghana na Afrika kwa ujumla

Asamoah Gyan akila kibinda nkoi

Asamoah Gyan akipongezwa na wachezaji wenzake

Kikosi cha Ghana kilichofanya mauaji
No comments:
Post a Comment