

Timu ya Stars wakipata mawaidha kutoka kwa Luka Kinyag'anyiro wakati wa mapumziko siku waliocheza na Zambia,Boston,MA
Wachezaji wa Stars United mnatakiwa tayari kwa safari ya Boston,MA,siku ya Ijumaa July 30 2010,wachezaji Atl.GA na Charlotte,NC mnatakiwa mue tayari Durham kwenye saa kumi na moja jioni,nyumbani kwa Shabani na Feisal,Basi litaondoka hapo Kumi na mbili jioni kuelekea DC.
wachezaji wa DC watakutana Saranac St,tatu na nusu usiku,tayari kwa safari kuelekea NJ na NY na tunataraji kufika Boston,MA saa moja asubuhi,usafiri kuanzia Durham kwenda Boston na kurudi Durham na chakula tukiwa Boston viishalipiwa,Mchezaji Michael Mngodo yeye atajitegemea kuja Boston,wachezaji Mudrick(WA),God(MN),Muly(MA),Dullah Riyami na Seif(DC) ni majeruhi wao hawatakuwepo kwenye kikosi.
Wachezaji wanaotarajiwa kwenda ni Hadji Helper,Edgar Kisoka na Elvis Mnyamuru(GA),Elisha Mundo,Abel Mundo,Simon Marko,Charles Kiyori,Ezra Nturu,Feisal Omar,Hamfrey Nturu,Innocent Geofrey na Shabani Mwampambe(NC),Evans Shangalai,Liberatus Mwang'ombe,Yahaya Kheri,Rashid Semdeia(Beach Boy),Vincent Ndusilo,Gilles Che,Adam Tenga,Lemy Mhando,Adam Jongo na Charles(DC),AbdulahTif Maalim(NJ),Ebra Nyagaly,Raphael Golie na Rahim Chomba(MA).
Timu itaondoka baada ya mechi,Jumapili kila mchezaji atakua amefika nyumbani kwake,asante.
No comments:
Post a Comment