Mwenyekiti wa Uchaguzi Mzee Safari Ohumay afunguka asema yeye hakusema uchaguzi ni Void alichosema kujibu tuhuma za aliyekua mgombea wa Urais Liberatus Mwang'ombe jitiririkie hapo chini.
Please understand my role as chair of the election committee ended formally after the final numbers.
I will however make factual corrections about your claims:
1) at no point after the election results did I say "election was void". You chose to say what you wished to hear. What I said was "you have a point", when preliminary numbers for rais had a discrepancy. The next day committee met rechecked, and all signed on the 9 votes discrepancy and 436 as the total voters who reported at the station. These are factual numbers confirmed by the committee, and not the board. Those were numbers the committee submitted to the board. The constitution does not say election committee announces, rather it hands over results to the dmv authority in place at the time, which at that time happened to be the board.
36 comments:
Kazi ipoooo
Wee Safari vipi bwana mbona na wewe pia maelezo yako hayaji toshelezi? Sidhani kama una chochote ulichoeleza cha kusaidia katika mgogoro huu zaidi ya kuona na wewe ni sehemu ya udahaifu uliojitokeza.
This Judge is a cancer to the DMV society.
Ooooh I thought katibu Asha was cancer to the community!!!!! Wow u all need to apologize to this lady !! Now ukweli huoooooo, judge naye anamjua huyu dada??? AIBU AIBU AIBU TEAM LIBE
Lol, libe, libe, libe!!! U must be kidding. Is that serious ? Kaka yangu na ndugu yangu, sasa unanitia mashaka na kujutia kura yangu niliyokupa. Ukubali kushindwa tu, let it go bro. Muda bado unao, jaribu tena next time. Ukiendeleza huu mzozo, utajitoa maana kwa hata watu waliokupigia kura. Sasa nabaki najiuliza nini haswa unachokita katika nafasi hiyo? You had a good chance but your campaign blew it for injecting "udini" strategies .Just learn from your mistake na ujiimarishe uchaguzi ujao
Propaganda zenu mbona hukutoa karatasi yote umekata nusu? Toa full page.wasiwadanganye hao na hii bana tu,dj luke
Ahahahaaaa! Lol
Usikubali Libe nenda supreme court - tu rise funds hii mahakama pia inatumiwa na bodi na tume na iddi
Ignorance wote nyingi watu wa tume.kesi.iko mahakamani mtatia akili mlipokuwa mnaulizwa na libe tena kwa barua hamkumjibu sasa ndio mnatuandikia,we got no time..
THIS IS AMERICA, mlisema wenyewe, siyo?
Sasa limewashuka! Na watu kama Libe, Alawi, Jabir and others, mliopandikiza roho ya udini ughaibuni, you owe us an apology for deformation of beautiful community. HATA siku moja sijawahi kumuona Mtanzania, nikawaza udini wake, especially hapa ugenini
Sina tatizo na saga zima la uchaguzi, isipokuwa stupid strategy ya kuingiza udini ktkt politics. Na imeaffect(in a bad way) mind ya watanzania wengi tu! Since huu uchaguzi, I can't believe how many times wakristo wenzangu wameingiza udini pale tulipoongelea uchaguzi. Ni jeraha ambalo aitha halitaondoka au litachukuwa muda kuondoka----unfortunately!
Game is over! Labda mtafute Judge from Nigeria, similar to the lawyers you hired, who clueless filed this complaints. Maybe you should have told Judge the truth that you spent so much money to give folks to come to the voting place to vote for you and spent some dough to provide transportation and that would have could qualified for irreparable damage on your part. Next time just hire me and I would have told you the truth, you ain't got none son! You are trying to spend thousands to chase a spot on the high table??? Jeezy..
Mtoa mada hapo juu Dj Lucas Hii kesi imesikilizwa lini na ni jaji gani,tupeni link tuangalie au toa makaratasi yote ili tujue nini kimejiri ndugu maana haya mambo ni makubwa.Ahsante
kwaaaa kwaaaaa hoooooo ,mamaweeee hii aibu ya dunia, wapi nyama choma yakujipongeza tule adi tinyeeee !haaaaaaaa kanitangaze babu ,wazee wazamani walikua wanaakili asie kubali kushidwa sio mshindani .sasa peleka hoja yako suprem court kama unaweza ,na poleni watu wote mlio toa mchango wenu ,bora mngepelekea yatima bongo au wagonjwa muhimbili. wasiojiweza ata kununua dawa , yasinge wakuta kwiiiiiiiiii .wengine babu zenu adi wanaomba hela za tumbaku uko vijijini alafu nyie mnajidai kuchangia ujinga apa rais ni IDD panga pangua akibadiliki kitu apa .
APPEAL IS ON THE WAY ?
Hahahaaaa hureeeeeee LIBE jipange upyaaa unapoteza muda wako bureee, hauta ambulia chochoteee acha roho mbayaa! !! IDDY ndo kaisha shinda na tuna MOVE ON, njoo tuselebukee na usiku wa JAKAYAA!!!
kama pesa zinawawasha leteni tuchangie jumuiya ya watanzania, sio kuwahonga malawyer wana hela hao
WAMEJAMBA MTONI HAOO
Libe,
Ningeshauri ianzishwe jumuiya mpya ya DMV ili iwaunganishe wana-DMV badala ya hiyo iliyopandikizwa na TAMCO.
Ombi: Libe,Hakuna ubaya kufanya japo BBQ kujipongeza kwa kazi nzuri uliyofanya.
Libe wewe sio kiongozi ulitakiwa kukubari matukio sasa unajipaka mavi na timu yako hata mwaka kesho sahau dmv.du
Just because he didn't go your way it does not make him bad to DMV society, we appreciate his work and hope he will continue to do so in the future.
Jamani chukueni majembe mkalime, mnapoteza muda sana na resources. It's time we need to see action 'kazi' hii kukuru kakara haitaisha leo wala kesho
UDINI NI NINI MAANA YAKE ? MDINI NI NANI ? MATENDO GANI YANASABABISHA MTU KUITWA MDINI ? UDINI NI SUALA AMBALO LIPO WAZI KWENYE JAMII YA DMV.LINAMUMUNYWAMUMUNNYWA KWA KUPAKAZIA UPANDE USIOUPENDA KUWA NI WA DINI.ANGALIA MATENDO YAKO BINAFSI,UTAPATA JIBU NANI N I MDINI NA NANI SIO MDINI.
Libe,wewe kama mgombea,unamajukumu kamili ya kuanza kukarabati mpasuko uliojitokeza ktk kampeni na baada ys uchaguzi. It's about time sasa uanze kuboresha mahusiano yako na jamii ya DMV kwani mashabiki wako ni wachache sana ukilinganisha na watu wasiopendezwa na ufanyayo sasa. Mimi nikiwa moja ya waliokupigia kura,lakini sasa nimeamua kamwe sitafanya hivyo nyakati zijazo. Tunaku hold accountable kwa mikanganyo yote na ni muda wa kujirudi na kukubali matokeo. Anza kuelekeza nguvu zako kutoa misaada nyumbani kufanya hivyo si lazima uwe rais DMV, kwani wananchi wanajali mchango wa wako kuliko title ya mtu. Hata ikitokea unapigania uongozi,itakuwa rahisi kuupata kwenye kura. The damage done is enough,let's all get along.
DJ LUKE IT'S ABOUT TIME TO PUT THIS TOPIC TO REST.
Naomba nijikumbushe enzi za primary school,toto tundu,bully,akiumbuka, tunamzomea, OOOHH ,HILOOOOOO!!!LIMEUMBUKA,HAHAHAAAA!!
Libe amekuwa dhahabu kama sio almasi.Kila post ikihusu TIMU LIBE inashambuliwa kwa comments za chuki,kibaguzi na hata kejeli.Kama hawawashughulishi,kwa nini mnapoteza time yenu kwenye keyboard ? Timu Libe oooh aaahh.Timu Libe mnaikubali kimyakimya sio ?
Jabir na Alawi Ndiyo walioleta strategy ya Udini!!!! SHULE KITU MUHIMU SANA. Next time wagombea tafuteni watu wenye elimu kidogo inasaidia. Msomi yeyote Yule asingelibali kutumia Udini as strategy na kudhalilisha chombo Kama TAMCO kilichojengwa for 20 yrs na kukidhalilisha miaka yote waislamu wameshirikiana na WATU wa Dini zote wanatukaribisha Tunafuturu nao tunakula sikukuu zao pamoja sisi wakristo hata kumsali Christmas hatujawahi kufanya. We need to respect each other nasi tujifunze kutoka Kwao na tushikamane Kama wakristo then Kama watanzania....TAMCO NI MFANO WA KUIGWA KAMA JUMUIYA YA IMANI NA TUIPE HESHIMA INAYOSTAHILI
chichemi chimumunyi chichemi chimumunyi, chijudge chiyuko chitimu chi iddy. chacha chilibe chitwende chimahakamani chiappeal chicase. chacha chichange chimoney chena chikwenda chiappeal cha chijudge chitoka chinigeria chababu chachapendelea chitimu chetu.
CHEZEA WASOMI WA MPH,CPR,FIRST AID,UPUMUAJI. AAAH CHEZEA SISI WEWE TUNAENDA SUPREME COURT SABABU HUYU JUDGE HAKUWA MNIGERIA. TUTAOMBA TUPEWE MNIGERIA HAKIMU ILI TUSHINDE KESI. KWA HIYO WANA DMV KILA MTU ATOE MIA TANO($500.00)MAANA TUNAONGEZA LAWYER WENGINE WATATU KUTOKA NIGERIA NA MMOJA GHANA WANAHITAJI DOLA ELFU THELATHINI($30,000.00) ILI TUPATE HAKIMU MNIGERIA ILI TUSHINDE KESI. TWENDE TWENDE DMV- UNITED WE STAND DIVIDED WE FALL. GOD BLESS OOOOOH
wewe anonymous wa 7:32pm sababu hawajatoa karatasi nzima ni kwamba walezi wenu wa chama chenu pia wameshiriki kufile hii case, nenda katika koti watakupa copy. kwa kukusaidia are you familiar with name like "Maliyatabu". hii ilikuwa propaganda ya chama chenu na hata watu walishirikiana naye kufile case hawajawahi kuwa wanachama hai wa jumuiya. ndio maana hata chama chenu cha siasa kimejaribu kujiingiza ili achaguliwe akagombee ubunge. chezea dmv wewe watu wana ubongo hapa sio walemavu wa akili. sasa kalaghabaho katafute wengine waliopo katika hiyo karatasi.
from the post it's clear that hanna umoja...if there was a problem tungekaa kama jumuiya kudiscuss . ndio manna hatuendelei
Duuuuu kwahiyo pesa zetu zimeliwa
na nyie DMV tushawachoka sasa....can you try to grow up for just 5 minutes and fix all these! mnatufanya hata siye wa mikoani tuogope kuishi kwenye community ya DMV!
Pole kaka Libe
Nilichogundua wengi wenu ni ma ignorant sasa nawashauri wote mlicomment huku
Soma massage uiyelewe neno kwa neno,
Pili jiulize kwa nini massage hivyo ya mahakamani iko busu page? And not full page?
Usianze kushabiki ujinga hata kuelewa huelewi.
Mkitukana msijaribu kuandika maneno ya kingereza maake hatuwaelewi! someni andiko la kumsupport team Libe mjifunze how to write proper English. huyo raisi wenu afungue shule lingine la kingereza mkajifunze.
Mission Incomplete.I.belive in.you libe.And I know you can do it.your intelligent,wise,smart,and a great leader. All the best.shall be well.
Post a Comment