ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, July 10, 2010

TANZANIAN MUSLIM COMMUNITY (TAMCO) – FAMILY DAY

www.tamcousa.org

Assalaam Alaikum,


Uongozi wa Tanzanian Muslim Community in Washington Metropolitan (TAMCO), unapenda kuwatangazia na kuwaalika nyote kwenye TAMCO Family Day:


Leo Jumamosi ya tarehe 10 July 2010 kuanzia saa kumi jioni mpaka saa tatu usiku (4:00PM - 9:00PM).


Mahali ni :
Spencerville Local Park
15701 Good Hope Road
Silver SpringMD 20905-4035


Near to the Muslim Community Center(Karibu na Msikiti wa New Hampshire)




Uongozi unawasisitizia  kuzingatia muda wa ghafla hii.



Tunawaomba nyote mzingatie mavazi yenye kulingana na maadili ya dini yetu.

Assalaam Alaikum.
Wenu

Uongozi

www.tamcousa.org

No comments: