ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 12, 2010

Image
Wanafunzi wa shule ya Sekondari Boko ya Jijini Dar es salaam wakipanda kwenye moja ya mabasi matano yaliyotolewa kwa mradi na Benki ya ya CRDB ampapo yameanza kutoa huduma hiyo jana. Wanafunzi hao walikutwa katika eneo la Boko Kilometa 30 toka katikati ya jiji. (Picha na Robert Okanda)

No comments: