![]() |
| Wasimamizi wa mkutano wa wanachama wa CCM Kata ya Kigogo, Dar es Salaam wakimtoa nje ya ukumbi mmoja wa mwanachama aliyesababisha vurugu kutokana na kumuuliza swali la utatanishi mgombea, Shyrose Bhanji (kushoto) wakati wa mkutano wa kuomba kura wa wagombea Ubunge jimbo la Kinondoni, uliofanyika kwenye kata hiyo jana. (Picha na Fadhili Akida). |

No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake