Assallam allaykum
Assallam allaykum,
blog ya VIJIMAMBO inawatakia waislam wote duniani mfungo mwema wa ramadhani.
Ramadhani ni moja ya nguzo ya kiislam katika nguzo tano, kwa kila mwenye uwezo imefaradhishwa kwake kufunga pia.
Tusisahau mwezi wa ramadhani ni mwezi wa upendo, huruma, ukarimu na rehma, kumbuka kuwafutarisha waliofunga.
Kitumie kipindi hichi cha mfungo kuwa chuo chako cha kujifunza kuacha maovu.
RAMADHANI KAREEM
No comments:
Post a Comment