ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 31, 2010

Balozi Wetu Mpya Atinga Washington,DC

Juu na Chini ni Balozi wetu Mpya Nchini Marekani, Mh:Mwanaidi S.Maajar akisalimiana na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania mjini Washington,DC mara tu alipowasili Leo Aug 31
Mama Munanka(kulia) akimuelekeza jambo Mh:Balozi Maajar

2 comments:

Anonymous said...

mnatushangaza badala ya kumkaribishia kwenye jengo la kodi za wakulima mnamkaribishia hotelini

Anonymous said...

karibu sana mama may be watanzania sasa tutakuwa na nafasi ya kujua yanayoendelea hapo ubalozini mana kama sio ubalozi wetu tulivyotengwa!kila la heri mama kwenye kujenga taifa