Tuesday, August 31, 2010

Balozi Wetu Mpya Atinga Washington,DC

Juu na Chini ni Balozi wetu Mpya Nchini Marekani, Mh:Mwanaidi S.Maajar akisalimiana na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania mjini Washington,DC mara tu alipowasili Leo Aug 31
Mama Munanka(kulia) akimuelekeza jambo Mh:Balozi Maajar

2 comments:

  1. mnatushangaza badala ya kumkaribishia kwenye jengo la kodi za wakulima mnamkaribishia hotelini

    ReplyDelete
  2. karibu sana mama may be watanzania sasa tutakuwa na nafasi ya kujua yanayoendelea hapo ubalozini mana kama sio ubalozi wetu tulivyotengwa!kila la heri mama kwenye kujenga taifa

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake