Tuesday, August 31, 2010

Je Unakumbuka Hapa Ni Wapi?????

Kuna mdau ametutumia hii picha na ameahidi zawadi nono kwa yeyote atakaetoa maelezo yanayowiana na picha hi yaani hapa ni Wapi katika eneo unakoishi au eneo ulilokwisha ishi...

1 comment:

  1. Huu ni Uwanja wa kufurahishia watoto Tibirinzi- Chake Chake Pemba

    Dullah

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake