Saturday, August 7, 2010

HABARI NJEMA KWA WAKAZI WA DMV


Assalam Alaykum, ndugu jamaa na marafiki, nilikuwa napenda kukufahamisheni kuwa ninabiashara ya vitambaa vya "Madiraa, Udi, pamoja na Khanga."
Nawale wenye vitambaa vyao naweza kuwa shonea kwa bei poa.
Wasiliana na mimi:
* Tell: 240-752-4170

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake