Saturday, August 7, 2010

Kwa niaba ya Watanzania tunapenda kutoa shukrani za dhati kwa familia ya Ligati Phanuel na Mercy kwa moyo wao wakusaidia Watanzania wenzao wanaoendesha maisha yao kila siku na kutokua na uwezo wa kununua nguo wala viatu,asante sana na Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema,awazidishie mara elfu.



No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake