Kahawa ya Tanzania imeuzwa miaka mitano iliyopita. Na msambazaji ni Dr. Jane Goodal yule mtafiti wa sokwe kule Gombe nchini mwetu.
Wabongo especially UGHAIBUNI wamekalia majungu bila kufikiri kuwa wanaweza kuwa wasambazaji wa bidhaa zao kwa masoko kama Whole Foods Market, Food Lion, Harris Teeter na Trader JOE.
Miaka ya nyuma Wabongo waliwahi kupewa tenda ya kusambaza samaki toka ziwa victoria yaani sangara kuleta hapa USA hasa Whole Foods Market wakaanza kuwasafirisha bila barafu za kutosha samaki wakawa wanachina bahati kama hiyo mtu unashindwa kuitumia.
Mungu atupe nini Wabongo au mnataka tushushiwe magunia ya chawa ndio tuzinduke usingizini!!!

No comments:
Post a Comment