ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 18, 2010


Yaani mchina kaharibu ajira za watu zamani kila mtaa ulikuwa na fundi cherehani kwa kuweka viraka sasa hakuna mwenye hamu ya kuziona kaunda suti zinatoka Beijing...!

No comments: