Kanisa la ibada ya Injili kwa njia ya msalaba (The way of the cross gospelministries) College park Maryland litakuwa linasherehekea kutimiza miaka miwilitangu ushirika uanzishwe kuanzia tarehe 6/8/2010 mpaka tarehe 8/8/2010 siku tatumfululizo. Ijumaa na Jumamos sherehe itaanza mnamo wa saa kumi kamili sharpmpaka 12.00midnight. Kutakuwa na ugeni kutoka sehemu mbali mbali. Kundi lawanamuzik na Askofu Peter Kitula kutoka Tanzania watakuwepo, Tumaini kwayakutoka hapa Maryland itakuwepo na kwaya zingine mbalimbali njeya Maryland zitakuwepo. Mgeni mheshimiwa balozi watanzania atakuwepo Jumapili.Jumapili ibada itaanza mnamo wa saa saba kamili mpaka saa mbili usiku. Ijumaa naJumamos kutakuwa na nyama choma vinywaji na uimbaji wa kila aina. Jumapilikutakuwa na chakula cha watu wote. Wahubiri wa sherehe hii watakuwa Askofu PeterKitula kutoka Tanzania na Mchungaji David H Jones kutoka Dayton Ohio. Address ni3621 cumpus drive,college park Maryland zip code 20740. For more informationunaweza Kuwasiliana na Mchungaji Ferdinand Shideko @ 202-367-3275 Katibu wakanisa Rose Kachuchuru @301-237-2746 Karibuni sana na Mungu awabariki.
ANGALIA LIVE NEWS
Monday, August 2, 2010
Kanisa la ibada ya Injili kwa njia ya msalaba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment