Monday, August 2, 2010

Kanisa la ibada ya Injili kwa njia ya msalaba


Kanisa la ibada ya Injili kwa njia ya msalaba (The way of the cross gospel 
ministries) College park Maryland litakuwa linasherehekea kutimiza miaka miwili 
tangu ushirika uanzishwe kuanzia tarehe 6/8/2010 mpaka tarehe 8/8/2010 siku tatu 
mfululizo. Ijumaa na Jumamos sherehe itaanza mnamo wa saa kumi kamili sharp 
mpaka 12.00midnight.  Kutakuwa na ugeni kutoka sehemu mbali mbali. Kundi la 
wanamuzik na Askofu Peter Kitula  kutoka Tanzania watakuwepo, Tumaini kwaya 
kutoka hapa Maryland  itakuwepo na kwaya zingine mbalimbali nje 
ya Maryland zitakuwepo.  Mgeni mheshimiwa balozi watanzania atakuwepo Jumapili. 
Jumapili ibada itaanza mnamo wa saa saba kamili mpaka saa mbili usiku. Ijumaa na 
Jumamos kutakuwa na nyama choma  vinywaji na uimbaji wa kila aina.  Jumapili 
kutakuwa na chakula cha watu wote. Wahubiri wa sherehe hii watakuwa Askofu Peter 
Kitula kutoka Tanzania na Mchungaji David H Jones kutoka Dayton Ohio.  Address ni 
3621 cumpus drive,college park Maryland zip code 20740.  For  more information 
unaweza Kuwasiliana na Mchungaji Ferdinand Shideko @ 202-367-3275 Katibu wa 
kanisa Rose Kachuchuru @301-237-2746  Karibuni sana na Mungu awabariki. 

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake