ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 24, 2010

Image
Maelfu ya wakazi wa mji wa Geita na vitongoji vyake mkoani Mwanza wakimsikiliza kwa makini Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa mkutano wa hadhara juzi mchana (Picha na Freddy Maro)

No comments: