ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 4, 2010

Image
Magari yakipita kwa shida kwenye barabara ya Mkunguni yenye madimbwi enoe la sokoni Kariakoo Dar es Salaam jana. Kuchimbika kwa barabara hiyo kumekuwa ni kero kwa waendesha magari na watembea kwa miguu. (Picha na Fadhili Akida).

No comments: