ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 19, 2010

Image
Msafara wa Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete ukipita katika barabara ya Ohio na kuingia kwenye barabara ya Ghana yalipo Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa ajili ya kurejesha fomu Dar es Salaam jana. (Picha na John Lukuwi).

No comments: